Tuesday, September 30, 2008
HALI YA SINTOFAHAMU UDSM NA KWINGINEKO!!
Kwa nini basi watu hawana matokeo??...kama nilivyowahi kuripoti siku zilizopita ni kuwa matokeo yao yalifungiwa kutokanana wengi wao kushindwa kulipa ada wanazodaiwa....yaani kumalizia asilimia ya ada ambayo bodi haijamlipia mwanafunzi..........
Nilivyoongea na wengi wa wanafunzi ambao hawajalipa...inadhihirisha kuwa engi wao hawana uwezo wa kufanya hivo!!...Nilipoongea na viongozi wa DARUSO yaani viongozi wa serikali ya wanafunzi wakasema kuwa wanajitahidi lakini utawala bado umekataa kuyatoa matokeo hayo.....
Ukweli ni kwamba mitihani ya supplementary imeshafanyika na wasio na matokeo ina maana mitihani imeshawapita na chuo kimeshafunguliwa kwa mwaka mwingine wa masomo......
Habari nyepesi nilizozipata ni kwamba bunge la wanafunzi linakaribia kukaa muda wowote wiki hii na hatujui ni nini wataamua...lakini kama ninavyojua imani ya wanafunzi ni kuwa mgomo utawasaidia....... Sijui itakuwaje na Bunge litaamua nini?
Bado hali ni tete UDSM na wanafunzi wengi hawana amani kabisa na wengine bado wanasita kuhamia chuoni.....Kwa wale wanaoanza mwaka wa kwanza ndio balaa zaidi!!ntawapa situation yao baada ya kufuatilia kidogo....
TABU TABU TABU KUSOMA TANZANIA!!...BALAA BALAAKUWA MASIKINI!!.....POLENI MARAFIKI NA TUNAAMINI BODI ITAWAFIKIRIA NA KUWAPA FEDHA ZENU NA CHUO KITAWAPA MATOKEO.
Wenu,
William aka Bill Jax
JE WADAU MNAMKUMBUKA DADA AMINA CHIFUPA??
Kwa wale wapenzi wa Clouds FM tutakumbuka sauti yake nzuri na wale Wanaharakati za za Siasa mtakumbuka harakati zake wakati akiwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano.
MUNGU AZIDI KUNEEMESHA PEPO YA DADA YE2
J e mdau unakumbuka nini au nini kilikufurahisha kwa Dada Amina?
Pichani Akila kiapo mbele Bungeni kma Mbunge na nyingine akila pozi kisela home kwake !
Huyu ni mtangazaji Dina Marios wa Clouds FM. Ndio hivi sasa anakalia kiti alichowahi kukalia Marehemu Amina Chifupa .Dina Marios anaendesha kipindi cha Leo Tena kinachorushwa na radio hiyo Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa tatu asubuhi mpaka saba mchana.
Kama asingekuwa anajitambulisha kipindi kinapoanza wasikilizaji tungeendelea kuamini kuwa mtangazaji bado ni Amina.Voko mlemle mwanangu! Naona kisura wanashabihiana !Kama mdogo wake vile !
Sunday, September 28, 2008
VITUZZZZZ KUTOKA KWA KAKA MAKULILO!!!!
Nimepata tips hizi ni muhimu mno, NONDOZZZZZ 2009 Scholarships/Fellowships in Netherlands. Open www.makulilo.blogspot.com for more opportunities.
TANGAZO LENYEWE HILI HAPA
Fellowships for International Students in Netherlands: Masters, PhD and Short Courses: The Netherlands Fellowship Programmes (NFP) are demand-driven fellowship programmes designed to foster capacity building within organizations in 57 developing countries by providing training and education to their mid-career staff members. As of 1 January 2009 the NFP country list will be extended with Burundi, DR Congo, Kosovo and Sudan.
50% of the available fellowships should be awarded to fellowships for female candidates, and 50% of the available budget should be spent on candidates from sub-Saharan Africa. Apart from this, priority is given to candidates from deprived groups and/or from marginalized regions.
The NFP are funded by the Netherlands Ministry of Foreign Affairs from the budget for development co-operation.
Employer support
The need for education and training must be linked to the institutional development of the organization the applicants are working for. This means that applicants must be nominated by their employers. In fact, applications without the support of an employer will not be considered.
NFP sub-programmes
§ Fellowships for master’s degree programmes
§
Fellowships for PhD studies
§ Fellowships for short courses
NFP master’s, NFP short courses and NFP PhD studies award fellowships to individuals. NFP also finances refresher courses for NFP alumni who would like to prolong the effect of earlier learning and update their knowledge and skills.
Applying for NFP
Applicants for PhD studies, master’s degree programmes or short courses must first gain academic admission to the course of their choice before applying for a fellowship through the Netherlands embassy or consulate in their country. Also, they can only apply for an NFP fellowship if the course is on the NFP course list for that particular year.
In all cases, applicants are advised to contact the Netherlands embassy, consulate or Neso well in advance for specific instructions, and to inquire about specific local procedures and deadlines, requirements and selection criteria. These may differ from the general information provided on Nuffic’s website or in the brochures.
More information
More information about NFP, including the application forms, are available at Netherlands embassies and consulates, Neso offices or from this website under the three different sub-programmes as mentioned above.
NFP country list
To be eligible for an NFP fellowship, applicants must be a national of one of the following countries. (Note: as of 1 January 2009 the NFP country list will be extended with Burundi, DR Congo, Kosovo and Sudan.)
http://www.nuffic.nl/international-students/scholarships/asia-africa-latin-america-and-eastern-europe/the-netherlands-fellowship-programmes
Download the application deadlines 2009 [pdf]
Tanzania Kenya Bangladesh and many other countries
SOURCE:
http://scholarship-positions.com/fellowships-for-international-students-in-netherlands-masters-phd-and-short-courses/2008/09/23/
MDAU
MAKULILO Jr,
makulilo@marshall.edu
www.makulilo.blogspot.com
Mobile +1 304 633 0978
Wednesday, September 24, 2008
IS NOT JOKES CANADIAN CITIZENSHIP ARE NOW EASIER FOR YOU
The canadian experience class will allow certain temporary foregn workers and certain foregn student graduates with managerial,professional, or technical or trade work experience to apply to become permanent residents, and eventually Canadian citizens reads the statement from Canada.
According to Canadian minister of citizenship and immigration Diane Finley, all applicants,depending on their occupational skill level, will be required to demostrate their basic or moderate language skills.
The canadian experience class is one more measure this government is proposing to make our immigration system more attractive and accessible to individual with diverse skills from around the world, and more responsible to the canada`s labour market needs,"said minister Finley".This new proposed avenue for immigration would also go further to spread the benefits of immigration into smaller centres across Canada.
The Canadian experience class comes after a number of recent initiatives the government has undertaken to help newcomers succeed and help make Canada a more attractive destination for skilled individual from around the world.
Through the Canadian experience class, newcomers will be more likely to make most of their abilities while undergoing a more seamless social and economic transition to Canada.And, in turn, their cultural and economic contributions will enrich Canada
Choosing newcomers based on knowledge of our labour market and experience within Canadian society would make Canada a more attractive destination for skilled individuals from around the world,"added minister Finley.
"international students and skilled workers would be more likely to choose Canada if they knew their time in Canada and contribution to Canadian society would assist in their eligibilty to apply to stay permanently".
mpo hapo wadau, mara ooh mshikaji acha longolongo,kwenda Canada si rahisi kama unvyofikiria,mchele huo nimewamwagia,
kazi kwenu,
mi simo,
good tym,
Francis philip
ROOMS! ROOMS!!! SHULE ITAENDA JAMANI!!!
At this times Vyuo vingi ndo vinafunguliwa Halafu ndo michakato ya Rooms jamani imekuwa tite, most of students are now wandering in their campusses..... Guess What they are doing???
unaweza ukafikiri wote wana'supps' , Amna........... !!!!!!! ni mishemishe za kutafuta rooms kwa ajili ya The Coming Academic year, mbaya zaidi uwezekano wa kupata rooms unazidi kuwa finyu kwani mfano UDSM wanafunzi waliokuwa wanatakiwa wapangiwe Kijitonyama hostels sasa hivi watajikuta wanafight kupata rooms main campas hivyo kuongeza competition kwa wanafunzi wengine, Pia mdau ametutaarifu hali iko hivyohivyo kwenye campas za Duce na Muce pia UDOM, ebwana jamani hali inaonekuwa ngumu zaidi baada ya kusikika kwamba Block F ya mabibo hostels imekuwa allocated wanafunzi wa poostgraduates tu........ Du!!! Mwaka huu shule itaanza kibishi!!! ila I hope hali itakuwa shwari kidogo after sometime, nadhan uongozi unajitahidi kuliweka hili liwe under control.
guys i dont think theres a need to panick, rooms zitapatikana tu....au vp???????
Tuesday, September 23, 2008
IS IT POSSIBLE FOR SECOND AND THIRD YEAR STUDENTS OF INSTITUTE OF FINANCE MANAGEMENT?
francis philip,
Institute of finance management.
Sunday, September 21, 2008
TUMESEMA TUNATAKA BACHELA!!!
Wadau wenzetu waliomaliza mwaka wa tatu pale chuo cha ustawi wa jamii wamefukuzwa rasmi hapo juzi kuwa watoke kwenye hostelz hizo hapo kushoto!!.......wameambiwa wawapishe mwaka wa kwanza kwa sababu wakati wao umekwisha na kesi yao bado ngumu...!!
Si mlisikia??...Wadau walikuwa admitted kwa ajili ya advanced diploma lakini mwaka baadaye chuo kikaanza kutoa bachelor kwa hiyo wadau nao walitaka kupewa bachelor na wakagoma kufanya mitihani yao ya mwisho....mh siju itakuwaje??...kesi iko mahakamani ikisimamiwa na mwanasheria maarufu kutoka kitivo cha sheria UDSM dokta Mvungi..kawafanyia fair ofcourse!!.....WE ARE HOPING THAT YOU GONNA WIN YOUR CASE PALS!!...
Wenu mdau william famously known as bill jax........
MJASIRIAMALI WA MAPENZI!!
Mshikaji ni mwanafunzi wa chuo chetu marafiki wa MZUMBE na mdada ni wa palepale USTAWI na kozi wanayosoma inafanana na ndio maana jamaa akapiga pepa!!............Kwa hiyo jamaa alitaka kuonyesha ushujaa kwa mpenzie na kwamba mapenzi yao yako level nyingine!!
Kwenu wadau...jamani tumefikia hatua hiyo ya kusacrifice masomo yetu sababu ya mapenzi duh!!...hawa watu nadhani wote wawili watakosa chuo na sijui kama mapenzi yataendelea...!!Labda watakuwa wanaoneana huruma kwa hiyo watafarijiana...mh sijui!!
Tabia za kufanyiana mitihani ya sup na ya mwisho ni tabia iliyokithiri sana vyuoni...either kwa kulipa hela ufanyiwe mitihani au kwa sababu binafsi kama hiyo ya kudhirisha mapenzi ya dhati!!......Jamani mapenzi sasa yanatupeleka kubaya!!..Tujirekebishe jamani wanavyuo na tujue haya mapenzi yana jinsi ya kuyachukulia na yana mipaka yake..........
POLENI NYIE WAPENZI WAWILI LAKINI TUNAAMINI FAMILIA INAENDELEA KUWEPO!!
Friday, September 19, 2008
ARE WE ON THE RIGHT TRACK FELLOWS?
College students all over the world are ranked academically wise according to what is called Grade Point Average (GPA). Due to this, every student struggles to get as higher GPA as they can.
Oddly, many students, in particular Tanzanian students have been devoting too much of their energy attempting to achieve higher GPA while forgetting wholly that studying, in essence goes far beyond that.
If I ask why do we enroll at colleges? I believe, most of you will deliver quite the same answer, we aim at enriching our intellect and get a life time assurance of good job opportunities, the formal being the ultimate reason.
It is alleged, and in some situations true that higher GPA students get wider opportunities in job seeking and put themselves in a good position to get employed easily. The adage is true; however it’s not always the case.
It is not subject to discussion that, we ought to work so hard as to get good GPA to prove to the employers that we are intelligent and well capable to master our carrier well. But we should never set that as our primary goal for our studying.
As a matter of fact, higher GPA will only enable us to be spotted easily but not employed easily and this is because Employers nowadays have come to realize GPA is not a good indication of competence. They have deviced other means to measure level of applicants' competence,like extended interviews which contain demostrations and sophiscated basket of questions concerning exposure on the whole.
So as a piece of advice, I urge you all, if you surely want to fulfill your dreams and reach your beautiful destiny before you know it, then as a college student, you'd better concentrate much on knowledge rather than performance (GPA), expose yourself rather than confine yourself to class materials.
Wednesday, September 17, 2008
HE EVER SAID THESE WORDS!!
HE IS MORE THAN THE WAY YOU KNOW HIM!!
FROM BOOM TO A MERE SALARY
I feel pity for my self and for all along with me who are going to be thrown into the same turmoil. Initially this may seem merely the same thing but if you try to dig a bit deeper into it you will obviously come to realise it’s too deplorable and problematic as compared to the previous one.
Having all money at the beginning can put you into a better situation to budget, handle and determine how you can level high your welfare, it’s absolutely true that many students acquire assets by clever budgeting of their boom. Morever some students invest on different businesses to increase their income so as to enhence their plan. It's beyond a shadow of a daught that By switching off this access students won’t be able to do all these.
From financial concepts point of view, time value of money really and surely counts, a dollar today isn’t the same as a dollar tomorrow regardless of the difference. This in the rough look may sound illogical but it carries significant reward with it. I believe you are well familiar with different financial rates and charges like interests; they exist to balance against that. So don’t ever say "Either,I don't mind,it's all the same."
One can be tempted to say this new policy is worth adopting owing to the fact that it will prevent some of students from running out of money before a semester ends, that’s is true, but only for those students who despite their level of education cant seem to benefit and improve their way of thinking and organising their own lives, it doesn’t make any sense for a college student to be unable to budget allowance. Failure to do just that will definitely mean that you won’t be able to even manage your own expected future family.
Lastly I’m calling upon you all, let’s take this seriously and be considerate about our welfare, I think in the first place it would wise and more polite that they would discuss with us before jumping to deciding for us. After all it is our concern.
I’m taking this small plot to say HELLO to all guys studying commerce & management at UDSM and the rest of the colleges.
it's me and only me, emmino......................................tek kea
DO YOU KNOW CANADIAN CITIZENSHIP ARE NOW EASIER FOR YOU
The new system called CANADIAN EXPERIENCE CLASS will make it increasingly easy for certain temporary foreign workers and foreign students to become permanent residents........
more to come very soon................
Francis
THE LETTER FROM MY FATHER
Niligubikwa na furaha isiyo na kifani nilipowasiliana nawe,baada ya kimya cha muda mrefu.Mimi na shughuli zangu na kufanya mambo yale yote, kama ujuavyo,Mwananchi anayotarajiwa kufanya nchini hapa.Ni hivi karibuni nimerejea nyumbani nikitokea London, Uingereza,nilikopelekwa kufanya kazi zilizohusu masuala kadhaa ya kiserikali, majadiliano kuhusu masuala ya fedha na kadhalika,
Ni kutokana na safari zangu nyingi za kikazi,ndiyo maana nakosa muda wa kukuandikia.Lakini, hata hivyo, nitajitahidi kadri ya uwezo wangu kutafuta jinsi ya kuwasiliana nawe kuanzia sasa.
Bila shaka utafurahi kusikia kuwa kaka na dada zako huku hawajambo na wanakusalimia sana.Kama ilivyo kwangu, naona wameridhia uamuzi wako wa kurudi nyumbani mara utakapo hitimu masomo yako.utakapofika, ndipo tutakapokaa pamoja na kuamua muda utakaotaka kukaa hapa nyumbani kwako.
Barrack, hata kama ni kwa siku chache kiasi gani lakini ni muhimu kwako kuwafahamu nguguzo, vivyo hivyo kujua kwako ni wapi.Nakutakia kila la Kheri na nisalimie Mama yako,Tutu na Stanley.
Natarajia tutawasiliana nawe muda si mmrefu.
Baba yako.
Hii ni barua kwa Rais mtarajiwa wa Marekani (BARACK OBAMA) kutoka kwa Baba yake mzazi BARACK HUSSEIN OBAMA SR aliyomwandikia kijana wake kumtaka aje nyumbani (KENYA) kupajua anapotokea na kuwajua ndugu zake waliopo Kenya.Kama kuna kitu cha muhimu ambacho Mzee Obama (mzazi) angejivunia kama angekuwa hai hadi sasa, basi ni Damu yake hii ambayo ina asili ya kiafrica aliyoizaa, Damu hii inataka kuleta mabadiliko ya kihistoria katika nchi hiyo ya Marekani, mshikaji nia anayo kweli,uwezo wa kufanya hivyo anao ,hilo hakuna mtu asiyelijua, ushahidi tunaoendelea kukuona jinsi anavyowachachafya wapinzani wake katika chaguzi za awali na kwenye campaign zake za kufa mtu ni kielelezo tosha kabisa!!!!!!!!!!!!.
Nini kitatokea, tusubiri uchaguzi mkuu ambao unafanyika November mwaka huu kuona kama kweli ndoto ya Mwafrica huyu mwenzetu zinatimia..............
Francis philip
Monday, September 15, 2008
CONFE!! CONFEREN!!!! CONFERENCIIIIIIIIIIII!!!...............
Don't say you have no idea what I'm talking about!!any way I guess you need a bit of elaboration to get a clear picture of what is going on at UDSM campus(our fellow students) and I'm going to grant it.............
It's customary for college students who didn't pass well their university exams to report earlier for supplementary exams. I agree on that, its a usual culture and it happens every year.
what makes this-time situation odd and rather unfamiliar is that,the college is too crowded as if everything is open. I almost see everyone I know, don't ask why I'm there now!I'm still doing my PT and I live on campus that's why I happen to meet and see people gathering on vimbweta.
but that's not my point for posting this article. I just wanted to tell that many students have got supplementary exams this year,it's too far from average, I don't want to step a bit forward and spit out what I'm thinking as the reason for this seemingly strange and huge conference ever held at UDSM campus.
I present this topic and expose to you all,it is ,of course subject to comments and discussion,welcome hommies................................................by emmino,
Sunday, September 14, 2008
MDAU NA MSHIKAJI
Francis philip
INSTITUTE OF FINANCE MANAGEMENT(IFM)
THANKS A LOT GUYS
Hello guys there!!! hoping you are doing good with your holiday right!!!, ni mdau mwingine wa vyuotz akimaliza field attachment practice ya kwake katika hospitali moja maarufu sana hapa Dar es salaam Tanzania inayoitwa CCBRT (COMREHENSIVE COMMUNITY BASED REHABILITATION IN TANZANIA). Hii ndio timu ya ma Accountant iliyokamilika vya kutosha hapo hospitali iliyofanya jitihada ya kuhakikisha kuwa kijana wao Philip au maarufu kama Francis hapo ofisini anapata mafunzo ya kweli ya uhasibu na siyo kupanga mafaili kama wanafunzi wengine wanaofanya field wanavyofanyiwa katika baadhi ya ofisi hapa mjini.Lengo kuu la kuipost hii picha ni kutoa appreciation zangu kwao kuwa nawakubali sana hawa jamaa zangu, kutoka kushoto ni
Brother: ABDUL YAHYA (Chief Accountant)
FRANCIS PHILIPO (Mwenyewe mdau)
SOPHIA KALULO (Assistant Accountant)
STELLA MWAKAJILI (Assistant Accountant)
MAMA ZONAL (Assistant Accountant )
Brother EVODI NGUGO (Assistant Accountant)
Brother ALLY HAMZA (Assistant Accountant, bahati mbaya hakuwepo wakat picha inapigwa)
HURUKA KISSIWA (Assistant Accountant, alikuwa rikizo wakati picha inapigwa, nasikitika sana kuikosa picha yako mama mlezi).
May GOD bless you for all you have done to me my brothers and sisters.
Francis philip,
INSTITUTE OF FINANCE MANAGEMENT (IFM)
SALAMU ZA WEEKEND KUTOKA RUSSIA....
Saturday, September 13, 2008
TUUNGANE WANAFUNZI WOTE KWA AJILI YA NCHI YETU!!
SALAMU KWA WADAU WOTE WA VYUOTZ
Friday, September 12, 2008
DARUSO WATANGAZA MGOGORO NA UTAWALA WA UDSM.
Sijui itakuwaje huko mbeleni...japokuwa sisi hatutamani mgomo utokee kwa sababu tunaju athari za migomo.....Nadhani DARUSO watakuja na solution nyingine tofauti na migomo tuliyozoea.....na ninaamini uongozi wa chuo utatoa matokeo ili kuepuka migogoro zaidi...
Migogoro haitusaidii bali inashusha hadhi yetu na kutudhalilisha.....Nadhani mazingira salama kwa wanafunzi wageni kutoka nchi za nje yanapokosekana hadhi ya chuo inashuka sana...............
Kwa hiyo tunaamini pande mbili za DARUSO na UTAWALA watakuja na ufumbuzi wa maana ili tubaki salama na tuendelee na masomo!!
MSAADA KWENYE TUTA!!
Habari ya kazi na samahani kwa usumbufu. Nina ndugu yangu anayehitaji kujiunga na kozi ya information technology chuo chochote atakachokubaliwa kwa ngazi ya diploma hapa Tanzania hasahasa Dar es salaam. Kutokana na tatizo la uwepo wa vyuo vivyo sajiliwa naomba msaada wa kujua ni vyuo gani kwa tanzania vinatoa kozi hiyo hasa vya serikali au mashirika ya dini kwa ngazi ya diploma na vimesajiliwa na serikali. Pia naomba nifahamishwe kuhusu chuo kilicho chini ya wizara ya ardhi kilichoko morogoro kuhusu kozi kinachotoa.
ASANTE SANA
Wednesday, September 10, 2008
HUYU NDIYE NAPE NNAUYE!!
UNAJUA KINACHOENDELEA UDSM KWA SASA??
Hii ni kwa sababu tarehe za suplementary zinakaribia na hawajapata matokeo yao na wameambiwa bila kumalizia ada wanazodaiwa hawatapata matokeo yao...Hii inasababishwa na matokeo yao ya means testing ambapo inatakiwa baadhi ya asilimia walipie wao!!
sijui itakuwaje lakini vijana wamekata tamaa sana ...na hawataweza kupata fedha zao za kujikimu kwa sababu hawana matokeo na bodi ya mikopo haiwezi kumpa fedha mtu asiye na matokeo....
mh!! Sijui itakuwaje??
Sunday, September 7, 2008
HAWA NAO WATOZWE VAT......!!!!
wasomi najua wengi wetu tuna mipango au tayari tumeshaanza kufanya biashara kma hzo, mnaonaje walipe kodi kwa taifa au tuwaandae kuja kulipa kodi hzo baadae biashara zao zikishakua....!!!!!
Friday, September 5, 2008
HEBU TUAMBIENI BASI MAANA SISI TUNACHANGANYIKIWA!!
Sasa je ni kweli kuwa huko nje kuna maisha mazur zaidi ya hapa nyumbani au tunajidanganya...maana mimi mwenyewe mdau bado nina AMERICAN DREAM humu kichwani!!
Mliopo nje tayari mnaonaje?Je tuendelee kuota kuja huko ughaibuni au??...Na sisi tuliopo nyumbani tunasemaje au ndio tunazidi kupotoka??
MDAU LAZIMA SIKU MOJA NIKANYAGE STATES!!....AM I WRONG!!
HOLLA TO MY FELLOW STUDENTS!!
TUNAWAONEA SANA HAWA WATU!!
Thursday, September 4, 2008
Wednesday, September 3, 2008
TOGETHER WE CAN MAKE IT!!
Kama uko tayari kuwa wakala wetu huko tafadhali tutafute kwenye billjax2001@yahoo.com
Hii inajumuisha nchi kama Uingereza,Marekani,Canada,Algeria,China,Urusi na sehemu zote.....Utakuwa unatutumia stori,picha,matukio yoote yatuhusuyo.....
Ninaamini wadau mtajitokeza na kuanzia sasa mtaanza kututumia picha na matukio ya huko....na tunaomba muwe mnatutumia mada za kuongelea......
Kwa sasa hapa nyumbani Tanzania vyuo vingi vimefungwa..ila vikifunguliwa mtapata habari nyingi sana za kampasi za huku na matukio ya huku......
Tunawapenda sana na Asanteni kwa ushirikiano..
TOGETHER WE CAN MAKE IT!!
SIAMINI KILICHOTOKEA......
HAYA WADAU MSHINDWE NYIE TU!!VIFAA HIVI HAPA.....
Usipitwe!!!!
Hii ni “special offer” kwa Wanavyuo wote popote pale mlipo chuoni Tanzania. Joe & Tom Computers inapenda kuwatangazia kwamba kuanzia sasa tumeanza kuuza Pre-owned Lapotops na/au Printes kwa wanavyuo popote pale Tanzania kwa bei rahisi sana. Kwa takribani miaka sita sasa Joe & Tom Computers imekuwa ikiuza bidhaa hizi ndani ya USA, CANADA, South America, na visiwa vya Caribbean tu. Hii ni kutokana na ugumu uliokuwepo wa jinsi ya kusambaza huduma yetu kwa ufasaha katika nchi yetu Tanzania. Huduma yetu nzuri ni msingi wa mafanikio yetu na mteja kwetu ni mfalme. Mafanikio yetu makubwa yametufunza mengi na sasa mikakati imekamilika ya jinsi ya kuendesha bishara hiyo hapo nchini Tanzania.
Bei Zetu!!!!
Bi zetu uanzia $250 kwa lapotop ambayo bado iko kwenye hali nzuri sana na $100 for the three in one printers (Printer + copier +Fax). Mpaka leo jioni tumebakiwa na unit za laptops 25 na printer 17 in our stock.
Malipo Je!!!
Kamwe hatupokei pesa mpaka umepokea item yako. Tuna mawakala wetu hapo Tanzania ambao watakuletea laptop/printer yako popote pale ulipo chuoni Tanzania na hapo ndipo utafanya malipo. Malipo tunapokea in Tsh. based on the exchange rate ya wakati huo utakapo toa order yako. Gharama za kusafirisha mzigo mpaka ulipo ni juu yetu sisi.
Store yetu iko in The Woodlands, TX, na unaweza kuwasiliana nasi kupitia email address joehous@yahoo.com Kama unataka kupigiwa simu orodhesha namba yako kwenye message. Asanteni sana!
Joe
Tuesday, September 2, 2008
WENZETU WANAKIMBIA SISI TUNATAMBAA! HAAH!!
GLOBU YA INJILI JAMANI!!
Habari yako ndugu? Kama unaweza tafadhali waweza kunitangazia blog yangu ya injili www.strictlygospel.wordpress.com kwa kupitia blog yako? Nitafurahi sana pia wanafunzi wakiifahamu. Asante sana Mungu akubariki
Mary
LAPTOPS FOR SALE!!
Nimekutana na hii blog ya vyuo TZ nikiwa na-surf kwenye web nikaona niwasiliane nawe. Kwa kifupi mimi ni mwanafunzi mtanzania ambaye niko USA kwa muda mrefu sasa. Mbali na kuendelea kusoma na kuishi, nina part time business yangu ya Laptop Computers Service. Wateja wangu wengi ni wa hapa USA kupitia e-commerce, ila pia nimeshafanya biashara na wateja wa nyumbani Tanzania kwa special orders.
Kupitia kwenye blog yako ninaomba unitangazie kama kuna mwanafunzi yeyote huko Tanzania ambaye angependa kununua laptop computer (second hands) kwa bei rahisi basi tuwasiliane kupitia joehous@yahoo.com . Mpaka wakati huu nina more than 39 units in my store; different brands and models ambazo ziko tayari kuwa shipped out. My price normally starts around US $250 and up + shipping cost. Pia nauza brand new printers; three in one printers (printer + Copier + Fax machine) ambazo ni kitu muhimu pi kwa academic needs. Bei ni kuanzia US$ 100 and up + shipping fee.
Kuhusu malipo ni kwamba nina mawakala wangu hapo Tanzania ambao watakuletea laptop/printer yako popote pale ulipo chuoni Tanzania na hapo ndipo utafanya malipo. Malipo napokea in Tsh. based on the exchange rate ya wakati huo utakapo toa order yako. Shipping cost unazolipia ni only za airflight charges; gharama za kusafirisha mzigo mpaka hapo chuoni ulipo ni juu yetu sisi. Kwa mawasiliano zaidi nitumie message kwenye e-mail joehous@yahoo.com .
Asante sana!
Monday, September 1, 2008
WASOMI MNAIELEWA BIG BROTHER!!
SASA KWA NINI TUNASOMA?
Naona wachangiaji wengi bado hawaelewi sababu za sisi kwenda shule na vyuoni kusoma!!
Bado nabaki na msimamo wangu kuwa tunasoma ili tufanikiwe maishani....Kufanikiwa maishani kunajumuisha kuwa na vitu vizuri kama magari,manyumba,mashamba na kukidhi mahitaji yako ya kila siku na ya familia........
Dhana ya tunasoma ili tupate maarifa,kuheshimiwa,kuwa mstaarabu,kuelimika na vinginevyo bado nasema ni uongo kabisa.....siku ulipokuwa unanyanyua begi lako kwenda hicho chuo ulichofuata sababu kubwa ilikuwa ni hiyo niliyotaja?....Kweli??
Je unaikumbuka kauli ya mwl Nyerere kuhusu sababu ya watu kusoma??....Ntawapa hiyo kauli hapo baadaye afu mtanikubalia!!
Sasa kwa nini tunasoma kama hatutaki mafanikio ya vitu nilivyovitaja??....Wewe ambaye ulishamaliza kusoma je umepata ulichokitarajia??...Maana matarjio yetu ndio hayo!!
TOENI MAONI WADAU...KWA NINI TUNASOMA?