Sunday, August 31, 2008
OTHER OPPORTUNITIES FOR MASTERS DEGREE.
DEADLINE FOR APPLICATION FOR AN ERASMUS MUNDUS SCHOLARSHIP FOR THE COURSE 2009/2010 : 15th December 2008 Postmark
INTRODUCTION
The NOHA European Master's in International Humanitarian Action has been selected by the European Commission among the first Erasmus Mundus masters courses for five years. This implies that the European Commission will grant scholarships to highly qualified third-country graduate students and scholars to students to follow the NOHA Mundus Masters Course, to scholars to carry out teaching and research assignments and scholarly work in the NOHA universities participating in the Course.
Third-country graduate student
Third-country graduate student means a national of a third country other than those from EEA-EFTA States and candidate countries for accession to the European Union; who has already obtained a first higher education degree; who is not a resident of any of the Member States or the participating countries (EEA-EFTA States and EU candidate countries for accession); who has not carried out his or her main activity (studies, work, etc.) for more than a total of 12 months over the last five years in any of the Member States or the participating countries.
The amount of the student grant is EUR 35, 600.
Each grantee will receive EUR 1,600 each month for living costs during the 16 months duration of the program plus a fixed amount of EUR 10,000 to be paid in two instalments of EUR 5,000 each per year.
Eligibility
Third-country students eligible for receiving an Erasmus Mundus scholarship fall into two different categories: one general category in which grantees can come from any third country and one specific category ("Asian windows") in which funds are earmarked for nationals from specific Asian countries.With regard to the general category NOHA consortium will reserve a 13 to 18 places for third-country students and 3 to 4 places for third-country scholars every year.With regard to the specific category ("Asian windows") the NOHA consortium will have the possibility to select 8 or 9 additional Asian students every year.
Third-country scholar:
Third-country scholar means a national of a third country other than those from EEAEFTA States and candidate countries for accession to the European Union; who is not a resident of any of the Member States or the participating countries as provided for in Article 11; who has not carried out his or her main activity (studies, work, etc.) for more than a total of 12 months over the last five years in any of the Member States or the participating countries; and who has outstanding academic and/or professional experience.The amount of the scholar grant is EUR 13, 000. Each scholar will receive EUR 4,000 each month for a period of 3 months and a fixed amount of EUR 1,000.Third-country scholars eligible for receiving an Erasmus Mundus scholarship fall also into two different categories: one general category in which scholars can come from any third country and one specific category ("Asian windows") in which funds are earmarked for a scholar from China........................................................................................................................................................................SOURCE: http://www.nohanet.org/
Friday, August 29, 2008
NICE WEEKEND FRIENDS ALL OVER THE WORLD!!
Back to you friends here at our home Country Our beloved mother Tanzania...Friends in all colleges and Universities in Tanzania!!I wish you all together a very nice weekend and I`m hoping you will continue to support our beloved blog of vyuotz.......All students in colleges and Alumni(Former Students) I`m hoping that we will always be connected and let us maintain unit...
As Americans always say `United we stand and divided we fall`.....Regardless of difference in our study areas we will always maintain love and unit............
I LOVE YOU ALL........VYUOTZ FOREVER.....SOLIDARITY FOREVER.......
Its me William..!!
JE KUSOMA NDIO JIBU LA MAISHA?
Hebu kwanza nikupe mfano wa dada hapo juu(Aliyevaa tisheti ya kijani)…Nalihifadhi jina lake ila ni dada anayejishughulisha na shuguli za kupikapika na kuwalisha mastaff wa ofisi mbalimbali…Sio kwamba amesoma LAH!!Lakini hapo alipo amejenga nyumba kutokana na kazi hiyo na ana kiwanja na ana Shamba nje kidogo ya mji wa Dar es salaam..na anawasaidia ndugu zake katika mambo mbalimbali…Sasa Je kusoma ni jibu la maisha?...Mbona kuna wasomi hawajafikia mafanikio hayo na wanafanya kazi nzuri tu…Huyu ni mpishi tu!!
Nadhani lazima tupanue mawazo na kujua nini tufanye ili tufanikiwe kama wasomi..Nadhani kazi ni muhimu lakini kuna kitu zaidi ya kazi inatakiwa kiwepo kutusaidia….Au mnasemaje mliopo makazini…Tatizo wasomi tunapima mafanikio kwa mtu kununua gari….We are very wrong!!
NASUBIRI MAONI YENU WADAU.
HONGERENI MWAKA WA KWANZA WOTE!!
Mkifika jamani nawashauri msome na msiingie katika mambo ambayo yatawapotezea muda na kuwafanya msifanikishe kinachowaleta vyuoni.Hapo mtafanikiwa sana...........
Nadhani mnafahamu yaliyopo vyuoni na watu waliopo vyuoni mtajifunza mengi lakini igeni yale mema na kuyaacha mabaya!!.....
Hili ndilo daraja la kuelekea kwenye maisha mazuri kama mkizingatia hilo!!
ASANTENI NA KARIBUNI SANA KWENYE TAASISI ZETU ZA ELIMU YA JUU.
HELLO KENYANS AND UGANDANS!!
We welcome you friends!!Join us please so that we can know what is going on out there....You also will know what is going on in TZ!!
Makerere,Mbarara,KIU,KU you are all welcomed...... Nairobi University,Moi University,Strathmore University and all colleges in Kenya you are all welcome...
We are waiting to hear from you pals!!....Thank you!!
Thursday, August 28, 2008
WADAU HILI SWALA LIMENIUMA SANA!!
Akachukulia mfano wa vyuo vya hapa Dar…UDSM,IFM,CBE,MUHIMBILI,DUCE na ARDHI UNIVERSITY.
Akaongelea maswala ya Night clubs,Bars,Shows…Uvaaji wetu na kila kitu akijumlisha Ulevi,U…. yaani mpaka vingine sivitaji!!
Hivi alitumia vigezo gani huyu mzee….Maana ni mzee wa makamo kidogo na anafanya kazi ofisi nzuri kidogo!!
Jamani ni kweli haya tunayoambiwa kuwa sisi ni wahuni?…Tufanyeje tuondoe hii dhana mbovu kwa baadhi ya watu?......Au ndio sababu hatufanyi sana vizuri masomoni?
Lakini bado siamini na limeniuma sana ngoja niwasikie nyie wadau…Nilikuwa nimepanda nae gari la Mwenge-Posta asubuhi hii wakati ananiambia hayo maneno…Ni mengi sana aliyosema na ameongelea pia migomo na kusema ni uhuni tu..
JAMANI JAMANI…………………..
UDSM WAMALIZA FIELD ZAO!!
OPPORTUNITIES FOR LANGUAGE GRADUATES!
Fulbright Foreign Language Teaching Assistant Program (FLTA)
*** Please email drs_exchanges@state.gov for information on the 2009 - 2010 application cycle. Information sessions for the next competition will be held in September 2008 and deadline will be October 15, 2008 ***
The Foreign Language Teaching Assistant (FLTA) Program is centrally funded by ECA. Teaching Assistants are vetted through the J. William Fulbright Foreign Scholarship Board. The program aims to strengthen U.S. foreign language instruction and promote mutual understanding by establishing a foreign language native speaker expertise on U.S. campuses. The program enables the teaching assistants to complete their home country pre-service training by engaging in non-degree studies at accredited post-secondary U.S. educational institutions while teaching one or two language courses. Additionally they serve as resource persons in conversation groups, cultural representatives, attendants in language laboratories, coordinators of extracurricular activities or supervisors of clubs and language houses.Selected teaching assistants will enjoy Fulbright status in the United Status. They are expected to teach their language/culture for up to 20 hours per week while taking two courses per semester. All FLTA's receive room and board, a monthly stipend, and tuition waiver for the required coursework, in addition to Fulbright immigration services. The Fulbright grant is for one academic year and is non-renewable.
The Institute of International Education (IIE) on behalf of Department of State, USA, would like to place several language teaching assistants at universities and colleges in the US as part of a strategic language initiative.
· Kiswahili is one of the targeted languages. These teaching assistants would be Fulbright Scholars and are expected to teach their language/culture for up to 20 hours per week while taking two courses per semester. The grant is for one academic year and is non-renewable. The program is designed to have native language and cultural informants who are close in age to undergraduate students in the USA. Normally, FLTAs would teach:
· beginning level or conversation courses
· work in a language lab
· animate a language table
organize cultural activities or have similar dutiesEach institution assigns duties that will best meet the needs of their school's unique circumstances. Fulbright will pay for travel, health insurance and monthly maintenance of the selected candidates. Institutions where the FLTAs are placed provide tuition scholarships for the required coursework. The selection process for Tanzania is facilitated through the American Embassy in Dar es Salaam. Applicants must be English teachers with a Bachelors degree, between 21-29 years of age who are willing to travel without their dependants for one academic year.This is an excellent opportunity for young teachers in Tanzania. To apply, please refer to the requirements listed here, and if you qualify, apply through online application process. Three reference letters should be filled out by teachers or other professionals you have worked with, and submitted directly to the address below. Signature page should be submitted together with relevant certificates and transcripts to:
Fulbright Program Officer, FLTA program, Office of Public Affairs, American Embassy, 686 Old Bagamoyo Rd. - Msasani, Box 9123, Dar es Salaam.Voice: 255 22 2668001
Fax: 255 22 2668251
Please note that only short-listed applicants will be contacted for an interview. Also, only nominated candidates will be required to sit for the TOEFL exam and submit a medical report.
SOURCE: http://tanzania.usembassy.gov/flta.html
MORE OPPORTUNITIES: www.makulilo.blogspot.com
Wednesday, August 27, 2008
TUWAPE USHAURI WANAFUNZI JAMANI!!
Nyie mliopo makazini mlivuka vipi huu mchakato?...Au elimu imekuwa ngumu zaidi siku hizi?..Hebu tuwape ushauri vijana waliopo vyuoni kuhusiana na vitu gani wazingatie na vitu gani wapunguze ili wafanye vizuri katika masomo yao!!
Tuwape ushauri sasa maana hapo chini mwanzoni kabisa wadau mmeongea mengi sana kuwahusu wanafunzi waliopo vyuoni.......
Au haiwezekani?..Kwasababu disco zipo kuanzia miaka mini sana iliyopita mpaka leo….WAPENI USHAURI WANAFUNZI JAMANI ILI TUJENGE WATAALAMU BORA KATIKA NYANJA MBALIMBALI
HOLLA TO OUR FELLOW STUDENTS.
NIMEYAPENDA HAYA MAONI YA MDAU WETU.SOMA.......
Kuhusu migomo, tatizo liko zaidi kwenye uongozi na sio wanavyuo. Uongozi hapa unahusisha serikali, uongozi wa vyuo na uongozi wa serikali za wanafunzi.
Serikali: Inatakiwa ihakikishe fedha kwa ajili ya mambo mbalimbali ya wanafunzi ziwe zinatumwa katika wakati bila kuchelewa. Serikali inatakiwa kuongeza vyanzo vya mapato ili kuweza kukidhi mahitaji ya wanafunzi. Ili nchi iendelee, ni LAZIMA kuendeleza ELIMU. Lazima ELIMU ipewe kipaumbele cha pekee kwa kuiingiza hela zaidi na vitendea kazi bora. Lazima serikali iboreshe mazingira ya walimu/wakufunzi ktk vyuo kwa kuwapa mafunzo zaidi na motisha zaidi. Hii itasaidia wakufunzi kuwa ktk hali bora na kuweza kuhakikisha wanafunzi wao wanapata kile kilicho bora kutoka kwao wakufunzi/walimu.Serikali pia IPITISHE sheria kuhakikisha kuwa waajiri wote wanawasilisha makato ya wafanyakazi wao ambao walichukua mikopo kutoka serikalini. Mikopo ilianza kutolewa mwaka 1994. Wapo watu wanaoweza kulipa madeni yao katika mwaka mmoja tu au miwili. Sheria hii ikipitishwa na ikasimamiwa kama sheria za pension (NSSF/PPF), waajiri wote wakibanwa, fedha nyingi zitapatikana. Hivi ndivyo nchi zilizoendelea zinavyofanya. Hakuna chochote tusichoweza kufanya.
Uongozi wa Vyuo: Hawa wanatakiwa ku-foresee changes katika mazingira ya vyuo vyao. Lazima wawe na vision ya wapi wanataka kufika na hivyo serikali isaidie katika vision hiyo.
Uongozi wa Serikali za Wanafunzi: Hawa wanatakiwa kutumia busara zaidi katika masuala ya kuitisha migomo. Serikali hizi zimekuwa mara nyingi zinaegamia kwa wanafunzi zaidi kuliko kuwa objective katka masuala husika. Kuna mambo ya kugoma wanafunzi wote, lakini kuna mambo ya kufuatilia bila kuruhusu mgomo. Tusifikiri kwamba vyuo kama Harvard, Cambridge na vingine havina matatizo. Hapana, matatizo yapo. Ila tu ni busara gani inatumika katika kutatua matatizo hayo. Kwa mfano, huwezi kuruhusu wanafunzi wagome, wiki mbili kabla ya kufanya annual exams. Kuruhusu hivyo, kunafanya wanafunzi warudishwe nyumbani kwa mwezi mmoja au zaidi, watafute nauli kwenda na kurudi, na pia kuweka bidii ya zaidi katika revisions zao. Pia interruptions kama hizi zina affect ratiba nyingine upande wa walimu,wanafunzi, na ndugu kwa ujumla.Kwa Tanzania yenye rasilimali zote tulizonazo, elimu bora inawezekana kabisa !!
Tatizo ni kwamba, sisi kama Watanzania, hatujaamua kujipanga vizuri, tunabaki tunalaumu tu bila kuja na mikakati na kuitekeleza mikakati hiyo.
Mada hii ni ndefu sana, naomba niishe hapa kwa mchango wangu huu mdogo
MANENO KUTOKA KWA MDAU WA MAREKANI!!
“Sijawahi kuona wala kusikia eti mkono umepewa shukrani za dhati na mguu kwa kuutoa mwiba. Ila ni ujinga na upumbavu wa mguu huo kwa kutokutoa shukrani kwa mkono, kwani kuna miili mingi isiyokuwa na mikono. Na mara ichomwapo na miiba hutaabika
sana. Hivyo basi napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwako kwa kulete blog yako ya habari za vyuo, www.vyuotz.blogspot.com kwa kuweza kuleta chombo cha mawasiliano kwa wanavyuo wote hapa Tanzania.”
Mobile 304-972-1857
Tuesday, August 26, 2008
MIGOMO VYUO VIKUU TANZANIA
Hivi migomo katika vyuo vikuu Tanzania itaisha lini?..Wenzetu mliopo nje ya nchi je vyuo vyenu vinasuluhisha vipi mambo yao?....Mimi nashindwa kuelewa ni kwa nini suluhisho kuu la sisi kama wanafunzi ni migomo!!
Kwanza inashusha hadhi ya vyuo vyetu kwani wanafunzi kutoka nchi za nje wanakuwa wanaogopa kuja kwa kudhani vyuo vyetu havina mazingira salama kwa ajili yao.
Kuna mgomo umepangwa kufanywa na vyuo vyote Tanzania hapo Oktoba…
Jamani jamani wanafunzi wenzangu,hatuna njia nyingine ya kutatua matatizo yetu.Viongozi wetu nyie mnafikiria nini?Hakuna kweli mnaloweza kufanya?
Naongea haya kutokana na athari za migomo tunazozipataga nikichukua mfano wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam.
Poleni sana wenzetu wa Muhimbili kwa matatizo yaliyowakumba.
TOENI MAONI YENU WADAU KUHUSU HAYA MASWALA YA MIGOMO!MNAONAJE…....
Monday, August 25, 2008
A WORD FROM A GRADUATE!!
Occupation: Audit and Business Advisory
Interests: Chatting and sharing experience and knowledge with others
University: University of Dar es Saalam
Degree programme: Bachelor of Commerce in Accounting (Bcom – Accounting)
Year of graduation: 2007
Advice to students: Self determination, focus and hardworking will lead you where you want to be tomorrow.
KARIBUNI SANA CHUO CHA USHIRIKA MOSHI.
RUDINI NYUMBANI WATALII WETU!!
`KENYA kwa mara ya kwanza jana ilitwaa medali ya dhahabu katika mbio za marathon katika michezo ya Olimpiki, baada ya mwanariadha wake Sammy Wanjiru, kutimuka kwa saa 2:6:32, huku wanariadha wa Tanzania wakichemsha.
Katika mbio hizo, Tanzania iliwakilishwa na wanariadha watatu ambao ni Samson Ramadhani, Getul Bayo na Samweli Kwan’g, ambao jana walishindwa kuonyesha makali.
Tanzania katika michezo hiyo iliyofungwa rasmi jana, iliwakilishwa na wachezaji 10 katika mchezo wa riadha na kuogelea, ambao wote hawakuambulia chochote, hivyo kudhihirisha kuwa Tanzania ingali na safari ndefu katika medani ya kimataifa.
Licha ya hali ya joto, Wanjiru alifanikiwa kumaliza wa kwanza akimshinda Jaouad Gharib wa Morocco, aliyemaliza wa pili, akiwa nyuma kwa sekunde 84.
Wanjiru aliyekuwa miongoni mwa wanariadha waliokuwa wakiongoza tangu mwanzo wa mbio hizo, alifanikiwa kuongeza kasi zikiwa zimesalia kilomita chache kabla ya kufika mwisho.
Nafasi ya pili katika mbio hizo ilikwenda kwa Jaouad Gharib wa Morocco, alishinda medali ya fedha baada ya kuachwa nyuma na Wanjiru, huku Tsegay Kebede wa Ethiopia akinyakua shaba.`
Sasa sisi Watanzania tujivunie mchezo gani?..Je ni mchezo gani tukiwekeza tutafanya vizuri?..Au tutumie mbinu gani na sisi tufanikiwe michezoni?..Soka tumejaribu lakini nako bado kabisa?..Au watanzania tunaweza nini?Hongereni sana Wakenya..TOENI MAONI YENU WADAU ILI WAHUSIKA WAYAONE!!
KAULI YA SPIKA SITTA!!
UNAMFAHAMU ALIYEGUNDUA BENZENE??
Huyu ni Friendrich august kekule ni mgunduzi wa benzene.aligundua mwaka1865.Benzene ni muhimu sana kwenye maisha ya kila siku.hutumika zaidi marekani.Benzene hutumika viwandani kwa shuhuli mbalimbali kama vile kutengeneza Plastics,Nylon ,Rubber,Lubricants na hata dawa za kuulia wadudu ziitwazo pestcides.mtu anaweza kuathirika na Benzene hasa sehemu za viwanda na,sehemu za kupigia rangi,na hata kwenye gundi za kugandishia furniture na pia kula vyakula vyenye Benzene kwa wingi..madhara yatokanayo na Benzene.
1.husababisha kansa ya damu yaani Leukemia.
2.husababisha kupungua kwa red blood cells mwilini ivyo kupelekea kumwa kwa ugonjwa uitwao ANAEMIA.
3.huaribu mfumo mzima wa kinga mwili yan immune system ivyo mtu kuwa rahisi kushambuliwa na bacteria na kupata maradh kwa urahis.
5.kwa upande wa wanawake huaribu mfumo mzima na mpangilio wa menstrual periods mwilini na kufanya mwanamke kushindwa kutambua siku zake kwa mpangilio. na pia hupunguza saiz ya ovaries hivyo kushindwa kuzalisha mbegu za kike hatimaye kukosa mimba.lakini mpaka leo haijajulikana kama kuna madhara kwa mfumo wa uzazi wa mwanaume.wanasayansi bado wapo uchunguzini.. na mwisho kabisa kwa wale wanaofanya kazi viwandani na mahospitali inabidi wavae protective ili wajilinde na hayo matatizo.
BY NANGU _ALGERIA.
Friday, August 22, 2008
WE ARE ALL THE SAME!!
Tukimaliza chuo hatutaulizwa tumesoma wapi bali tuna sifa gani na je una vigezo wanavyotaka...Na kwanini wasomi tutegemee kuajiriwa tu??..Tutaanza kutoa na mada za je tujiajiri vipi??...Inabidi mtu uwe bosi wa nafsi yako na sio uwe na bosi wako..au sio wadau!!..Tukaribisheni vyuoni kwenu na mtupe mada ambazo zitatujenga wasomi ..au sio marafiki!!
Je tuishi vipi tukiwa vyuoni??..Mambo ya uhusiano na lifestyles pia tutazungumzia..au siyo wadau??.....
Mwisho niwaachie swali la weekend..Je hotuba ya raisi Kikwete imejibu maswali ya watanzania??...Je tumeridhika kuhusu,EPA,RICHMOND,ZANZIBAR NCHI AU SIO NCHI,ELIMU na kadhalika?..Hebu nipe maoni rafiki.
W E E K E N D N J E M A.
NA MIMI NARUHUSIWA JAMANI!!
NALILETA KWENU WADAU WA VYUOTZ!!
Je kuna dili sana ukisoma nje??...Je kuna dili ukisoma nyumbani??......
Mimi sielewi wapi bora ..na wapi utapata elimu bora na wapi utapata bora elimu......
Nasikia Ulaya watu wanafanya kazi ngumu sana ili kujikimu na kujilipia ada...ni kweli?...
Wapi bora sasa..toeni maoni yenu hapa chini!!
WATANZANIA WATU WA AMANI SIKU ZOTE!!
Wa-Tanzania kama tunavyosifika kwa Amani na ukarimu duniani hilo pia limejitokeza kwa wanafunzi wanaosoma Algeria!!
Kama nilivyoambiwa kuwa pale chuoni kwao wanasifika sana kwa dhana yao ya urafiki na ukarimu kwani hawajawahi kukutwa na kesi kama ya uvutaji bangi,umalaya,ulevi na kadhalika.... Hapo kulia ni bwana Ibrahim Rashidi akiwa na rafiki zake waarabu wa Algeria na rafiki yake Mnamibia na wote wameahidi kuitembelea Bongoland waone hizo sifa zetu!!..Na hiyo picha ya pili katikati ni msichana wa Msumbiji nae kaahidi kuja Tanzania...
Je hizo sifa ni za kweli??..Na hizo sifa za mabonde na milima tutaendelea nazo mpaka lini wakati tu masikini siku zote??...Je tujivunie kwa nini waTanzania??.....Si mmesikia watalii wetu tuliowatuma huko Beijing kwenye Olimpic hawajarudi hata na medali ya shaba??..Sasa tujivunie nini??....Basi sababu walienda kutalii basi warudi hata na bidhaa walizonunua huko China!!
TOA COMMENTS ZAKO HAPA CHINI MDAU......
WELCOME TO INSTITUTE OF SOCIAL WORK!!
Thursday, August 21, 2008
PICHA ZAIDI KUTOKA ALGERIA!!
SI MUDA MREFU TUTAUNGANA NANYI NYUMBANI.
YOU ARE WELCOME PALS!!...
Wednesday, August 20, 2008
HOLLA TO OUR FELLOW STUDENTS.
Hawa ni wanafunzi wengine wakiwa field katika ofisi moja kubwa pale town....MKAPA PENSION TOWERS katika ofisi za NSSF.....
Man in black ni Mohamed Abdulrahman na man in orange ni Emmanuel Frank all from University of Dar es Saalam....
Wanawatakia likizo njema na Field njema wanafunzi wote Tanzania na masomo mema kwa wale mlio ng`ambo a.k.a Overseas...
Bado nasubiri picha zaidi za wanafunzi na mniambie mliko....Hata Alumni mnakaribishwa...
ALL THE BEST MY PEOPLE
SALAMU KUTOKA ALGERIA!!
nilipata salamu zao na nategemea watatumia picha zao kupitia email yetu na tutaipost na majina ya vyuo vyao na majina yao pia... We wish you all the best there!!
Halafu mdau wa New York,ulikuwa unaomba specialization nyingine za Bcom apart from Accounting...ni Corporate Finance,Banking Finance,Marketing,Human resources,Management Science na International business..Ila kwa UDSM zinafanyiwa review..International business na Management science hazitakuwepo tena...Kwa University of Dodoma ntafuatilia kuhusu hizo mbili kama zipo au lah!!
Halafu kuna argument nimetumiwa kuwa DIT inatoa maengeneer bora Tanzania kuliko sehemu yoyote hata COET ya UDSM haifiki... ni kweli??...Kwanini isiwe COET iwe DIT??,,, Mimi sihusiki ngojea tusikie maoni ya watu!!
Ntafuatilia halafu ntaileta hii discussion mezani ikiwa clear..ila anzeni kwanza kutoa comments zenu hapa chini!!
WHAT WILL JK SAY!!
BREAKING NYUUUUZ!!
Tuesday, August 19, 2008
SALAMU KUTOKA CHUO KIKUU CHA URAFIKI LUMUMBA URUSI!!
WELCOME KING MSWATI TO BONGOLAND!!
HI TO ALL STUDENTS ALL OVER TANZANIA AND ABROAD!!
Monday, August 18, 2008
KWA SITUATION HIZI BABA UWA UNAKUMBUKWA!!
PICHA ZAIDI ZA WENZETU WALIOPO RUSSIA!!
HAWA NI WANAFUNZI WENZETU HUKO URUSI!!
Friday, August 15, 2008
WEEKEND NJEMA MARAFIKI!!
Najua wengine ni wakati wa kujipumzisha nyumbani kutokana na mahangaiko ya the whole week..... Wengine ni time ya kwenda kujipumzisha katika country club mbalimbali..kama vile maisha club,ambiance,bar one,slipway au club 84(dodoma) Triple A(ARusha),City kabana(mwanza),Dandu(Mbeya) na kadhalika.......
For some othaz ni wakati wa kumkumbuka mungu...yaani kanisani(safi)...you better be well in prayers and god will help you to achieve your dreams...For muslims najua 2day walikua msikitini......
Okay basi wote mkumbuke kuwa `Only those who dare to fail greatly are the ones who can ever achieve greatly` So jaribu utafanikiwa hommie!!
Okay shout outs kwa wafuatao..naanza na UDSM.....Faustine innocent(Bcom),John mwanalinze(Bcom),Nkingwa(Bcom),Shila(Electronics),Joshua samwel(sociology),Chris(Law)........And all other Udsm students
IFM Pascal Jao(ADA),Philip Francis(ADA),Cholo(ADA),JUMANNE AHMAD(ADA),Eli(Taxation),Sofia(Computer science)...and other IFM students.
MZUMBE Francis Sweetbert(BAF), FAIDHA(BAF), Mussa Munkya (BAF),ASILA KHALEF(BAF) and all Mzumbe students
SAUT Mussa(Sociology) Baraka (Computer science)..Goddy Goyai(law-RUCO) and all SAUT students...
T.I.A we have Lisbeth Bulugu,Ottoman,Hellen(all ADA) and other TIA students.......
TUMAINI we have Kesheni Sammy(Mass communication), AMOS Kasanga(Business administration),Benson(LAW) and all Tumaini students........
Others nitatoa shout outs next weekend...mnitumie majina yenu kwenye emails...bila kusahau picha zenu...hawa hawakutuma!!
ALL THE BEST TO ALL STUDENTS ALL OVER TANZANIA AND TANZANIANS WHO STUDY ABROAD...Just like BONIFACE ELPHACE MAGINA IN RUSSIA AND DIANA IN U.K
HALLOW LET ME PUT IT ON THE TABLE!!
Nilivyoipost picha hiyo ya IFM watu wamenitumia mails nyingi wakisema ooh mara BAF of MZUMBE is the best than IFM`S ADA...oooh wengine wakasema BCOM of UDSM is the best in business studies...Wengine wakasema all in all wote ni biashara tu!!
OKAY BACK TO YOU....
Among the business schools in Tanzania including otha colleges apart from 3 above...Which is the besst na kwanini??
By my side i still say go around and be back IFM ndio inatoa maproffesional accountant wa ukweli na ndo mana wako full mawizarani na Serikalini...
But is it real....Hebu mrespond...afu next week ntatoa who won the battle...
Where are you TIA,IAAA,BAAF(Ushirika) na ST augustin....
PUT YOR COMMENTS DOWN HERE ..CLICK THE BUTTON WRITTEN COMMENTS AFU ANDIKA MAONI YAKO!!
Thursday, August 14, 2008
HALLOW IFM PEOPLE!!HOW YOU DOING??
Wednesday, August 13, 2008
DO YOU SEE THIS STREET?!
But you goverment people..do you have a proper city plan so that someday we can aproach to being one of the attracive cities in the world...Africa ni Johanesburg tu ndio iliyoingia katika top 50 ya most beautiful cities in the world zikiongozwa na lovely city of Paris in France and i dream to be there someday to see those beautiful sceneries....Wat bout you pal??....But by 2015 Dar es saalam will be there....but you leaders must observe accountability and implement the plans....daily you are making plans and peldges but for sure you are doing nothing ...only what i see from you is Economic sabotages!!Not fair...Abuja took the plan of CDA DODOMA but wao wameimplement wakatupita hata sie tulioplan...we should turn from good planners to good planners and implementers!!NI HAYO TU....BUT WELCOME TO DAR ES SAALAM..!!WHERE WE RIDE ON THE FANCY CARS LIKE EVERYDAY AND COUNTRY CLUBS ALWAYS HAVE THE PARTIES TILL SIX IN THE MORNING!!..........
Thursday, August 7, 2008
JE BLACK AMERICA ATAKUWA U.S PRESIDENT!
DO YOU REMEMBER THIS!!!
Wednesday, August 6, 2008
WENGINE HAWA HAPA!!
DO YOU SEE THE BIG BOSS BELOW!!
Tuesday, August 5, 2008
UMESIKIA?????? HAVE YOU HEARD??
UMEANZA LINI KUTUMIA COMPUTER
YOU ARE ALL WELCOMED!!
This is for welcoming you all and letting you know that now we as students have got our new blog........
This blog will be helping us to air our views on the ongoing things in our country and the world at large and chatting and letting others know what is going on around all our campuses...also it is designed for all of us to share our views about entertainments,education,sports,lifestyles,rumours and a little bit of politics and other important things.....
So i take this opportunity to welcome you all and starting from this year of 2008 we will be having our blogg and you are all welcome to post your comments on this...
we will be using both languages ENGLISH and our mama KISWAHILI..
WELCOME YOU ALL..............